Kianasi

Kianasi (pia Kibapu) ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waanasi. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kianasi imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kianasi iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search